Revelation of John 1:1

Utangulizi Na Salamu

1 aUfunuo wa Isa Al-Masihi aliopewa na Mwenyezi Mungu ili awaonyeshe watumishi wake mambo ambayo ni lazima yatukie hivi karibuni. Alijulisha mambo haya kwa kumtuma malaika wake kwa Yohana mtumishi wake,
Copyright information for SwhKC